Mshatkiwa Elizabeth Michael |(17), ' Lulu' akielekea kupanda ngazi na
kupandishwa Kizimbani Kesi hiyo ilikuja kwa ajili ya kutajwa
Upelelezi haujakamilika hiyo ni kwa mujibu wa Wakili wa Serikali
Elizabeth Kaganda alisema mbele ya Hakimu Mkazi wa Mahakama hiyo Rita
Tarimo hivyo kesi hiyo itatajwa tena Mei 7 mwaka huu. Mtuhumiwa amerudishwa rumande.
Akizindikizwa ndani ya chumba cha Mahakama ya hakimu mkazi kisutu jijini Dar es Salaam leo
Mshtakiwa akipanda ngazi kuelekea Kizimbani ambalo kesi yake ilitajwa
katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Jijini Dar es Salaam huku akiwa
katika ulinzi mkali kutoka kwa askari Magereza.Picha na Mdau Khadija Kalili
KWA HISANI YA HAKI-NGOWI
No comments:
Post a Comment