"MIONGONI
MWA UFISADI ULIOTIA FORA TANZANIA EBWANA HUU ULIPITA MIPAKA. HII NI
NDEGE YA JESHI LA ANGA LA QATAR AMBAYO ILITUMIKA KUIBIA WANYAMA 130 WA
AINA 14 TOFAUTI NCHINI TANZANIA NA KUWAPELEKA DOHA QATAR. SASA
WATANZANIA WENZANGU NAWAULIZA, INAMAANA WAHUSIKA WALI-PLAN KUA KABISA
SOKO LA UTALII TANZANIA? MI NAMASHAKA SANA NA UPEO WA FIKRA KWA BAADHI
YA VIONGOZI WETU.
KWA HISANI YA HAKI-NGOWI
No comments:
Post a Comment