Pichani
shoto ni Rais Mtsaafu wa Zanzibar,Mh Abeid Aman Karume akifafanua
jambo mbele ya wageni waalikwa mbalimbali waliofika kwenye mkutano huo
uliohusu maendeleo ya matumizi ya nishati karne ya 21 kwa nchi za
Afrika
Balozi
Charles Stith ambaye aliwahi kuwa balozi wa Marekani nchini Tanzania
(Mratibu mkuu wa mkutano),akifafanua jambo kwa wageni waalikwa.
Pichani juu ni wageni waalikwa mbalimbali waliofika kuhudhuri mkutano
huo wa maendeleo ya matumizi ya nishati karne ya 21 kwa nchi za
Afrika
Mmoja wa wageni waalikwa akichangia jambo.
Wageni waalikwa wakifuatilia jambo wakati mkutano ukiwa unaendelea.
Wageni
waalikwa mbalimbali wakihudhuria mkutano wa kujadili maendeleo ya
matumizi ya nishati karne ya 21 kwa nchi za Afrika,Mkutano huo
uliowakutanisha Marais Wastaafu nane wa Afrika,umefikia tamati jana
ndani ya chuo kikuu cha Witwatersrand, jijini Johannesburg, Afrika
Kusini .
Pichani
shoto ni Rais Mtsaafu wa awamu ya pili wa Tanzania,Mh Ally Hassan
Mwinyi akiagana na Balozi Charles Stith ambaye aliwahi kuwa balozi wa
Marekani nchini Tanzania (Mratibu mkuu wa mkutano), mapema jana
jioni,mara baada ya mkutano wa siku tatu uliohusu kujadili maendeleo
ya matumizi ya nishati karne ya 21 kwa nchi za Afrika,Mkutano huo
uliowakutanisha Marais Wastaafu nane wa Afrika,umefikia tamati jana
ndani ya chuo kikuu cha Witwatersrand, jijini Johannesburg, Afrika
Kusini .
Pichani
shoto ni Rais Mtsaafu wa awamu ya tatu wa Tanzania,Mh Benjamin Mkapa
akiagana na Balozi Charles Stith ambaye aliwahi kuwa balozi wa
Marekani nchini Tanzania mapema jana jioni,mara baada ya mkutano wa
siku tatu uliohusu kujadili maendeleo ya matumizi ya nishati karne ya
21 kwa nchi za Afrika,Mkutano huo uliowakutanisha Marais Wastaafu
nane wa Afrika,umefikia tamati jana ndani ya chuo kikuu cha
Witwatersrand, jijini Johannesburg, Afrika Kusini .
Pichani
shoto ni Rais Mtsaafu wa Zanzibar,Mh Abeid Aman Karume akiagana na
Balozi Charles Stith ambaye aliwahi kuwa balozi wa Marekani nchini
Tanzania (Mratibu mkuu wa mkutano), mapema jana jioni,mara baada ya
mkutano wa siku tatu uliohusu kujadili maendeleo ya matumizi ya nishati
karne ya 21 kwa nchi za Afrika,Mkutano huo uliowakutanisha Marais
Wastaafu nane wa Afrika,umefikia tamati jana ndani ya chuo kikuu cha
Witwatersrand, jijini Johannesburg, Afrika Kusini
Wahariri
wa vyombo vya habari kutoka nchini Tanzania,wakiagana na Marais
Wastaafu wa Tanzania,mara baada ya mkutano wa kujadili maendeleo ya
matumizi ya nishati karne ya 21 kwa nchi za Afrika,Mkutano huo
uliowakutanisha Marais Wastaafu nane wa Afrika,umefikia tamati jana
ndani ya chuo kikuu cha Witwatersrand, jijini Johannesburg, Afrika
Kusini .
Pichani
shoto ni Rais Mtsaafu Nicéphore Dieudonné Soglo wa Benin akiagana na
Balozi Charles Stith ambaye aliwahi kuwa balozi wa Marekani nchini
Tanzania (Mratibu mkuu wa mkutano), mapema jana jioni,mara baada ya
mkutano wa siku tatu uliohusu kujadili maendeleo ya matumizi ya nishati
karne ya 21 kwa nchi za Afrika,Mkutano huo uliowakutanisha Marais
Wastaafu nane wa Afrika,umefikia tamati jana ndani ya chuo kikuu cha
Witwatersrand, jijini Johannesburg, Afrika Kusini
Kushoto
ni Balozi Charles Stith ambaye aliwahi kuwa balozi wa Marekani
nchini Tanzania (Mratibu mkuu wa mkutano),Rais Mtsaafu wa awamu ya
pili wa Tanzania,Mh Ally Hassan Mwinyi pamoja na Rais Mstaafu wa
Zanzibar,Mh Abeid Aman Karume wakiwa katika picha ya pamoja jioni ya
jana na Wahariri wa vyombo vya habari kutoka Tanzanania,mara baada
kumalizika kwa mkutano wa kujadili maendeleo ya matumizi ya nishati
karne ya 21 kwa nchi za Afrika,Mkutano huo uliowakutanisha Marais
Wastaafu nane wa Afrika,umefikia tamati jana ndani ya chuo kikuu cha
Witwatersrand, jijini Johannesburg, Afrika Kusini .
Baadhi
ya Wanafunzi kutoka chuo kikuu cha Dar Es Salaam (UDSM) wakiwa katika
picha ya pamoja mapema leo mara baada ya kushiriki mkutano
wa kujadili maendeleo ya matumizi ya nishati karne ya 21 kwa nchi za
Afrika,Mkutano huo uliowakutanisha Marais Wastaafu nane wa
Afrika,umefikia tamati jana ndani ya chuo kikuu cha Witwatersrand,
jijini Johannesburg, Afrika Kusini .Picha na Ahmed Michuzi-Johanneburg