WAZIRI WA MAMBO YA NDANI NA MBUNGE WA NGONG, NCHINI KENYA AMEFARIKI
DUNIA SAA TATU ASUBUHI YA LEO JUMAPILI KWA AJALI YA HELICOPTER AKIWA
SAFARINI KUELEKEA JIMBONI(NDHIWA) KWA MBUNGE ORWA OJODE AMBAYE PIA
AMEFARIKI KATIKA AJALI HIYO , PAMOJA NA WATU WENGINE WATANO WALIOKUWEMO
KATIKA MSAFARA HUO. MUNGU AZILAZE ROHO ZA MAREHEMU MAHALA PEMA PEPONI.
AMEN...source daily nation
No comments:
Post a Comment